Meneja Mauzo wa Serengeti Breweries Ltd Mkoa wa Morogoro Bw. Moses Baltazary (Mwenye kofia) akikabidhi funguo ya Bajaj Limo yenye uwezo wa kubeba abiria saba kwa mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti Bi Rukia Almasi ambaye ni mkazi wa Kihonda na mfanyakazi katika Bar ya Kambarage iliyopo manispaa ya Morogoro.
No comments:
Post a Comment