Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 14 February 2016

WAZIRI NAPE AONGEA NA VIONGOZI WA COSOTA NA MKURUGENZI MKUU WA COPYRIGHT MANAGEMENT EAST AFICA PAUL MATTHYSSE 'P-FUNKY'

Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa Paul Matthysse  kulia akimuelekeza Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)

Mkuu wa uendeshaji wa Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa  Abdi Zagar aliesimama akimuelekeza  Mhe.  Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa  Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa Paul Matthysse  maarufu kama P-Funky. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Mhe. Nape  Nnauye akiongea na viongozi wa COSOTA na  wa  Kampuni ya  Copyright  Management  Eas t  Africa kuhusu mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi. .(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)

No comments:

Post a Comment