Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday, 11 May 2015

MCHEZAJI KUGHARAMIA HASARA YA BAO LAKE

Mchezaji kandanda ameahidi kulipia hasara iliyosababishwa na shabiki wake alipofunga bao.
Mchezaji kandanda ameahidi kulipia hasara iliyosababishwa na shabiki wake alipofunga bao.

Shabiki huyo sugu Ross Morgan, 25, alikuwa akitizama mechi kati ya Ipswich na Norwich jumamosi iliyopita wakati huo timu yake ikiwa nyuma kwa bao moja.
Hata hivyo anasema alishikwa na wazimu akaruka juu na kupiga ngumi dari ya nyumba yake ikatoboka baada ya Paul Anderson kufunga bao la kusawazisha.
Morgan, alisisimka na akagonga dari ya nyumba yake akitizama mechi ya Ipswich
Morgan aliipiga picha shimo hilo na akaiweka kwenye mtandao wake wa kijamii wa Twitter.
Mashabiki wenza waliisambaza na ikamfikia Anderson ambaye ilimgusa na akajitolea kugharamia hasara aliyosababisha.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment