![]() |
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika uchaguzi huo kutoka vyama mbalimbali vya siasa. |
![]() |
Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika uchaguzi huo uliofanyika katika shule ya walemavu wa usikivu eneo la Njia Panda. |
![]() |
Baadhi ya viongozi waliofika kushuhudia uchaguzi huo. |
![]() |
Mkurugenzi wa wilaya ya Moshi, Fulgence Mponji akitoa ufafanuzi katika uchaguzi huo. |
![]() |
Baadhi ya madiwani walioshiriki uchaguzi huo. |
![]() |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo. |
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo. |
![]() |
DC Makunga akipeana mkono na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Moris Makoi mara baada ya kuzungumza katika uchaguzi huo. |
No comments:
Post a Comment