Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Wednesday, 13 May 2015
HAKUNA 'SISTER DUU' HAPA, UNAONA DADA ALIVYOIKUMBATIA BUNDUKI YA KIVITA!?
Mambo ya Burundi leo hii. Tazama mwanadada huyu alivyo jasiri kwa kuikumbatia bunduki ya kivita akiwa ameiviringisha na nylon. Usingeweza kutambua amebeba nini kama ungekutana naye, au siyo?
No comments:
Post a Comment