Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Monday 8 February 2016
WAZIRI DKT. MAHIGA AKUTANA NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI MBALIMBALI NCHINI.
Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akiongea na Mabalozi na Wadau wa Maendeleo wanaoziwakilisha
nchi mbalimbali nchini Tanzania kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka
mpya 2016 leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Kiongozi wa Mabalozi
wanaoziwakilisha nchi mbalimbali nchini Tanzania Balozi wa Zimbabwe nchni
Tanzania Idzai Chimonyo akitoa shukrani kwa niaba ya Mabalozi wanaoziwakilisha
nchi mbalimbali nchini Tanzania wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2016
leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Baadhi Mabalozi
wanaoziwakilisha nchi mbalimbali nchini Tanzania wakifurahia jambo wakati wa Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe.
Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2016 leo Ikulu
jijini Dar es salaam.
Baadhi Mabalozi
wanaoziwakilisha nchi mbalimbali nchini Tanzania wakimsikiliza Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi
Dkt. Augustine Mahiga wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2016 leo Ikulu
jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt.
Augustine Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi
zao pamoja na Wawakilishi wa Wadau mbalimbali wa Maendeleo nchini Tanzania wakati
wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2016 leo Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment