Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 17 February 2016

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KWENDA UJERUMANI

 Meneja wa Masoko wa Star Times Tanzania, Damien Leo (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari nambari ya smatikadi ya mshindi wa droo ya pili ya kujishindia safari ya kwenda Ujerumani mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni balozi wa kampuni hiyo kwa upande wa chaneli na vipindi vya michezo, Mtangazaji wa Luninga na Redio wa Clouds Media,  Shaffih Dauda (kushoto) na Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abdalla Hemedy (kulia)
 MtangazajiwaLuninganaRediowa Clouds Media, Bw. ShaffihDauda (kushoto) ambayepianibaloziwakampunihiyokwaupandewachanelinavipindivyamichezo, akipiganambariyasimuyamshindialiyepatikanakatikadrooyapiliyakujishindia safari yakwendaUjerumanimwishonimwa wiki jijini Dar es Salaam.WakiuatiliatukiohilokwamakinikulianiMenejawaMasokowakampunihiyo, Bw. Damien Leo (kulia) naMkaguzikutokaBodiyaMichezoyaKubahatisha Tanzania, Bw. AbdallaHemedy (katikati).
MenejawaMasokowa StarTimes Tanzania, Bw. Damien Leo katikati) akiuatiliakwamakinimazungumzokwanjiayasimubainayamshindiwadrooya piliyakujishindia safari yakwendaUjerumanimwishonimwa wiki jijini Dar es Salaam naMtangazajiwaLuninganaRediowa Clouds Media, Bw. ShaffihDauda (kushoto), mbayepianibaloziwakampunihiyokwaupandewachanelinavipindivyamichezo. AkinakilitaarifahizokatikatiniMkaguzikutokaBodiyaMichezoyaKubahatisha Tanzania,Bw. AbdallaHemedy.

Na Mwandishi Wetu

Watanzaniawatakiwakuchangamkiafursayakujishindia safari yakwendakutazama ‘Live’ moja ya mechi za ligi ya Ujerumani inayotolewa na kampuni ya StarTimes Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uchezeshwaji wa droo ya pili ya promosheni hiyo, Meneja wa Masoko wa kampuni hiyo, Bw. Damien  amebainisha kuwa tayari mshindi wa kwanza amekwisha patikana na leo hii kama mlivyoshuhudia wa pili amemtangaza.

“Dhumunikubwa la kufanya promosheni  hii ni kuwakumbusha wateja wetu kuwa StarTimes imejizatiti katika kuboresha maudhui  ya chaneli na vipindi vinavyopatikana  katika ving’amuzi vyake. Kama ukifuatiliakwaukaributumekuwatukifanyamaboreshomarakwamarailikukidhihajayawatazamajiwakilarika. 
Kwa mwaka uliopita tumejitahidi kwa kiasi kikubwa kuongeza chaneli na vipindi   vya michezo mbalimbali kama vile mpirawa miguu, kikapu, tenesi, riadha, kuogelea, mbio zamagari, pikipiki na kadhalika.”Alisema Leo

“Hivyobasikwawaokulipiavifurushivyamwishowamwezi au kujiunganahudumazetu, lichayakuwakatikanafasiyakushinda safari hiibalipiawatawezakujioneamazurituliyonayo. 
Ningependakutoawitokwawatejawetunawatanzaniakwaujumlakujijengeautamaduniwakujaribuvitutofauti,” alisemanakumalizia Bw. Leo, “Tusiwenamazoeayakutazamachanelinavipindivyanyumbanipekeetu, tujaribu na kwa upande wa wenzetu wanafanyanini. 

Nina amini vipo vitu vingi vizuri vya kutazama, kujifunza na kuvifanya huku nyumbani na kuleta manufaa kwa jamii yetu.”

Katikadroohiyoyapiliiliyochezeshwamwishonimwa wiki nakampunihiyojijini Dar es Salaam, Bw. Johannes Maluli(53), mkaziwaVingungutinakujishughulishanaudereva, alibahatika kuwa mshindi baada ya namba ya smatikadi yake yaking’amuzi kuibuka miongoni mwa mojawapo yenye bahati.

Akielezea juu ya ushindi huo kwa njia ya simu Bw.Maluli alisema kuwa amepokea habari hiyo kwa furaha kubwa na kuishukuru kampuni ya StarTimes kwa kuja na promosheni hiyo kubwa na aina yake kwa wateja.

“Nashukurusanakupokeahabarihiinjemanapianingependakuwapongezawaandajikwanihilijambokubwasanawanalolifanyakwasisiwatejawao. 
Ni ampuni chache zinafanya hivi na hata  kama wakifanya huwa wanatoa zawadi   za kawaida lakini hii nitofauti. Sitoamini macho yangumpaka pale nitakapoigusaardhiyaUjerumani, hapo sasa ndio  nitaamini kuwa StarTimes kuwawalikuwahawatanii. 
Ningependakuwatakawatejawenzangunawatanzaniawashirikikatikapromoshenihiikwaninikwelinasiubabaishajinatenaukizingatiavigezonamashartininafuukabisa.”Alihitimisha Bw. Maluli

Mshindihuyowapiliwadrooiliyopewajina la ‘PasuaAngana StarTimes’ alipatikanabaadayakujiunganakifurushi cha mambo  ambacho ni shilingi 12,000 katikaking’amuzi cha antenna.

Lakini pia mteja yoyote wa StarTimes anaweza kuibuka mshindi kwa kujiunga na kifurushi chochote kuanzia cha shilingi 5,000/- nakuendeleakwaupandewaving’amuzivyadishina antenna. 

Na kwa wateja wapya pindi wajiungapo  na huduma  za kampuni hiyo wamekuwa wameunganishwa moja kwa moja na droo ya bahati nasibu

No comments:

Post a Comment