Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 12 February 2016

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO MHE. DKT. ASHANTU KIJAJI AFUNGUA MKUTANO WA 25 WA MWAKA WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF,JIJINI DAR.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Kijjah, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (Mb) akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Akizungumza wakati wa mkutano huo Dkt.Kijaji aliupongeza Mfuko huo wa PPF kwa mikakati thabiti ya kutoa huduma zake kwaJamii. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Baadhi ya Wadau na Wanachama wa Mfuko huowakimsikiliza Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi huo leo kwenye Ukumbi wa  Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Medi
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (wa pili kulia) akimkabidhi Cheti za mshindi wa kwanza wajumla Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu Charles Kazuka, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Kijjah. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Ashantu Kijaji (wa pili kulia) akimkabidhi Cheti za mshindi wa kwanza wa jumla Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu Charles Kazuka, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Wa pili (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Kijjah. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha, Richard Ndasa. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (wa pili kulia) akimkabidhi Cheti za mshindi wa pili wa Usafirishaji, Mawasiliano na Uzalishaji Umeme, Ofisa wa kampuni ya Simu za mkononi ya Airtel, Pamela Mwandetele, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 25 wa mwaka wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, ulioanza jijini Dar es Salaam, leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere,  unaomalizika kesho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wadau waliopata Vyeti katika ufunguzi huo. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Picha ya pamoja na wadau baada ya ufunguzi wa mkutano huo. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Mwanachama wa PPF, Angela Mgulu, akitoa ushuhuda wa Fao la Uzazi , wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Mwanachama wa PPF, Bakari Kaoneka, akitoa ushuhuda wa Fao la Uzeeni , wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media
Hotuba ya Mgeni rasmi hii hapa:

Maelezo ya Mkurugenzi Mkuu:

Malezo ya Mwenyekiti wa Bodi:

No comments:

Post a Comment