Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 4 July 2015

RAIS WA ZANZIBAR ALI MOHAMED SHEIN AFUTARISHA MKANYAGENI PEMBA

a
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba Bw.hemed Suleiman wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini  Pemba jana. [Picha na Ikulu.] 

b
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba Bi Hanuna Ibrahim Masoud wakati alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini  Pemba.
????????????????????????????????????
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akishiriki katika swala ya magharibi iliyoswalishwa na Sheikh Chumu Salim  kabla ya futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Kijiji cha Mkanyageni  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini  Pemba jana  katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni,
????????????????????????????????????
Akinamama wa Vijiji tofauti vya  Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana  katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni,
????????????????????????????????????
Wananchi na Waislamu wa  Kijiji cha  Mkanyageni Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini  Pemba wakiwa katika  futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katikaviwanja vya Skuli ya Mkanyageni,
j
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa baada ya kufutari pamoja na Wananchi wa Kijiji cha  Mkanyageni Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini  Pemba jana katika viwanja vya Skuli ya Mkanyageni,
k
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kushoto) akiagana na Wananchi wa Kijiji cha  Mkanyageni Wilaya ya Mkoani  Mkoa wa Kusini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha kwa Wananchi wa kijiji hicho jana.

No comments:

Post a Comment