Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 2 July 2015

PROF. MWANSOKO: UTAMADUNI UNASAIDIA KATIKA ULINZI NA USALAMA WA NCHI

 Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Major General G.S Milanzi kulia akiongea na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmas Mwansoko kushoto kabla ya Prof. Mwansoko kutoa Mhadhara juu ya Utamaduni unavyochangia katika usalama na ulinzi wa Nchi kwa Viongozi wa Ulinzi na usalama wa ndani na nje ya nchi pamoja na Taasisi za umma.Mhadhara huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo.

 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni  Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Helmas Mwansoko akitoa mada kwa Viongozi wa Ulinzi na usalama wa ndani na nje ya nchi pamoja na Taasisi za umma juu ya Utamaduni unavyochangia katika usalama na ulinzi wa Nchi .Mhadhara huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo.

Picha na Benjamin Sawe

No comments:

Post a Comment