Wataalamu
Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakielekea kukagua mradi wa
kilimo cha Karafuu wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi uliopo katika kijiji
cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo
la Peramiho uliopo umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.
Timu
ya wataalamu kutoka Wizara ya Habari wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha
Karafuu cha kikundi cha ujasiriamali cha Ushindi uliopo katika kijiji cha
Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la
Peramiho umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.Kulia ni Mkuu wa Kitengo
cha huduma za Sheria Bi. Ester Riwa na kushoto ni Afisa Maendeleo ya Vijana
kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Wataalamu
Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa katika ukaguzi wa
mradi wa kilimo cha karafuu cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema
Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho
umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.
Mradi
wa kilimo cha karafuu wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi kilichopo katika
kijiji cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea
Jimbo la Peramiho
Picha
na Benjamin Sawe
No comments:
Post a Comment