Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 13 May 2015

MAHAKAMA YAWATETEA WAHAMIAJI AFRIKA KUSINI

Wahamiaji Afrika Kusini wakiandamana
Mahakama nchini Afrika Kusini imeizuia kwa mda serikali ya taifa hilo kutowarudisha makwao wahamiaji waafrika 300.

Mawakili wameruhusiwa kushauriana na wateja wao baada ya mamlaka kuwazuia kufanya hivyo.
Mamia ya wahamiaji wasio na vibali wamekamatwa katika msako uliofanyika usiku wiki za hivi karibuni.
Hii inafuatia msururu wa ghasia dhidi ya wageni ambapo watu saba waliuawa.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment