Kutakuwa na kikao cha kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kitakachofanyika tarehe 11 - 12/12/2016 na kufuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa tarehe 13/12/2016. Vikao vyote hivyo vitafanyika jijini Dar es salaam.
Wajumbe wote wa vikao hivyo wanaombwa kuhudhuria.
Imetolewa na:-
SELEMAN Y. MWENDA
Kny: MSEMAJI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
05.12.2016
No comments:
Post a Comment