Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza
na Bwana Tye Ferrell kutoka Shirika la Utafiti la Tetra Technology lililopo
nchini Washington DC Marekani, pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam,
Profesa Rwekaza Mukandala (katikati) wakati walipomtembelea ofisini kwake Jijini
Dar es Salaam 08 Aprili, 2016.
Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimweleza
jambo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala
(katikati) wakati wa mazungumzo katika ofisi ya Mhe. Spika jijini Dar es Salaam jana 08 Aprili, 2016.
Mtafiti
toka Shirika la Utafiti la Tetra Technology lililopo nchini Washington DC
Marekani Bwana Tye Ferrell akimweleza jambo Mhe. Spika Job Ndugai (hayupo
pichani) wakati wa mazungumzo katika ofisi ya Mhe. Spika jijini Dar es Salaam jana 08 Aprili, 2016.
Watafiti
kutoka Shirika la Utafiti lililopo Washington DC-Marekani Bwana Patrick McGoven
(kushoto) pamoja na Bwana Tye Ferrell wakimsikiliza Mhe. Spika Job Ndugai (hayupo
pichani) wakati akiongea, wakati walipomtembelea ofisini kwake jana 08 Aprili,
2016 Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA
BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
No comments:
Post a Comment