Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 10 January 2014

TMA YAWAASA WANANCHI KUTOPUUZIA TAHADHARI ZA HALI MBAYA YA HEWA

Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar, Mohamed Ngwali akitoa maelezo ya takwimu za hali mbaya ya hewa iliyowahi kutokea kwa kipindi cha miaka 50 katika visiwa vya Unguja na Pemba, akisisitiza wananchi kutopuuza tahadhari zitolewazo.

Wananchi mbalimbali wakipata maelezo ya kina juu ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa katika banda la TMA kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Ofisa Uhusiano wa TMA Bi. Monica Mutoni akitoa elimu kwa umma jinsi ya kupata taarifa za hali ya hewa kupitia njia mbalimbali za usambazaji wa taarifa hizo kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Meneja Kituo cha Zanzibar Said Khamis akimwelezea mwananchi njia mbalimbali za ukusanyaji wa takwimu za hali ya hewa kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment