Chama
cha mapinduzi kitafanya sherehe za kutimiza miaka 37 toka kuanzishwa
kwake tarehe 05.02. 1977, sherehe hizi kwa mwaka 2014 zitafanyika katika
mkoa wetu wa Mbeya tarehe 02.02.2014.
Ifuatayo ni taarifa ya shughuli zitakazofanyika katika kufanikisha sherehe hizi:-
Tarehe 25 – 26 January 2014 maafisa wawili kutoka makao makuu watawasili katika mkoa wa Mbeya.
Tarehe 28 january 2014, katibu wa NEC siasa na uenezi ndugu Nape Moses Nnauye atawasili katika mkoa wa Mbeya.
Tarehe 30. 01. 2014 makamu mwenyekiti bara ndugu Philip Mangula, pamoja na sekretarieti ya taifa watawasili katika mkoa wa Mbeya.
Tarehe 31, 01, 2014 saa 4:00 hadi saa 7:00 mchana makamu mwenyekiti bara Ndugu Philip Mangula pamoja na wajumbe wa

sekretarieti
ya taifa watafanya ziara katika wilaya ya Mbeya mjini ili kuangalia
uhai wa chama katika matawi na utekelezaji wa ilani ya uchagizi wa CCM,
pia watashiriki shughuli za ujenzi wa taifa.
Tarehe 31, 01 2014 saa 8:00 hadi 12:00 jioni, katibu mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana atakutana na vijana wajasiliamali wa bodaboda na bajaji.
Tarehe 01,02, 2014 mwenyekiti wa CCM taifa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ndugu Jakaya mrisho kikwete atawasili katika mkoa wetu wa Mbeya, na tutampokea kwenye uwanja wa Ndege wa Songwe.
Tarehe 01,02,2014 saa 08:00 mchana hadi saa 12:00 jioni katibu mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana atakutana na wana CCM kutoka vyuo vikuu vilivyoko katika mkoa wa MBEYA.
Tarehe 02,02,2014 saa 12:00 alfajiri mpaka saa 02 kamili asubuhi yatafanyika matembezi ya mshikamano yatakayoongozwa na mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, matembezi hayo yatakayoanzia Soweto na kupita mwanjelwa, sinde yataishia ofisi kuu ya CCM mkoa wa Mbeya.
Tarehe 02,02,2014 saa 8:00 mchana hadi saa 12:00 jioni sherehe za miaka 37 ya CCM zitakazofanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Tarehe 03, 02, 2014 viongozi kuanza kuondoka katika mkoa wa Mbeya.
Imetolewa na:
Bashiru S. Madodi
Katibu siasa na uenezi mkoa wa Mbeya.

No comments:
Post a Comment