Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo.
Rais
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein naye
alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo kati ya Simba na KCC.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)

No comments:
Post a Comment