MTUHUMIWA AKIENDELEA KUZOA KINYESI CHINI YA ULINZI
NI HATARI AKIHAKIKISHA PANAKUWA SAFIII
DUUU AISEEEEE
HAPA AKIHITIMISHA KUZOA.
BAADA YA KUMALIZA KUZOA HAPA AKIPELEKWA MAHAKAMANI AKASOMEWA KOSA LA
KUTOROKA NA KUPIGWA MIEZI SITA WAKATI KESI YAKE ALIYOMPELEKA
IKIHAIRISHWA
.Mwandishi , Wiliam Bundara wa matukiodaima.com Mwanza
...................................................
UKIULIZA
kwanini wapo watakaosema kwa sababu ila ukihoji imefikaji wapo
watakaosema imefika ila kubwa kuwa mbinu hukotea baada ya kubanwa na
kutafuta jinsi ya kujinasua na hivi ndivyo ilivyo kuwa kwa Mahabusu mmoja
aliyekuwa mahabusu ya mahakama ya wilaya ya Nyamagana na Mahakama ya
Mwanzo iliyopo eneo la jirani na Mamlaka ya maji safi na Hifadhi ya
Mazingira (MWAUWASA) jijini Mwanza alitoa kioja cha mwaka kwa kujaribu
kutoroka kwa kujipaka kinyesi ili asiguswe wala kukamatwa.
Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikufahamika alijimwagia kinyesi kilichokuwa kwenye ndoo iliyokuwa ndani ya sero ya Mahakamani hapo na askari alipokwenda kufungua ili kuwapeleka watuhumiwa kwenye chumba cha Mahakama kusomewa kesi yake baada ya kutajwa na karani wa Mahakama ya mwanzo, baada ya kutajwa ndipo mahabusu huyo alipopata mwanya wa kukimbia na kutoa tahadhari kwa atakaye mgusa au kumshika atakumbana na kadhia ya kuchafuliwa kwa kupakwa kinyesi.
Askari mwingine mwenye cheo cha sajenti, ambaye alikuwa akihushughulika na huduma nyingine mahakamani hapo, kwa kuwa alikuwa na uzoefu wa kupambana na mikasa na vioja kama hivyo vya mahabusu wanao kula njama za kutaka kutoroka aliamua kula naye sahani moja kwa kumkimbiza na kufanikiwa kumkamata.

Baada
ya kumkamata na kumrejesha katika chumba cha mahabusu mahakamani hapo,
kwanza mtuhumiwa huyo aliamriwa kuzoa mtondoro wa kinyesi cha binadamu
alichokuwa amejimwagia na kutapakaa chini na mara baada ya kumaliza
kuzoa uchafu huo, alipelekwa kwa hakimu ambapo alisomewa kosa la kula
njama za kutoroka na kukumbana na adhabu nyingine ya kuhukumiwa kifungo
cha miezi sita (6) jela, huku kesi yake iliyokuwa ikimkabili awali
ikiahirishwa.
CHANZO: Matukiodaima
No comments:
Post a Comment