|
Jan 28 (2 days ago)
| |||
|
Majukumu yake kama Mnikulu na maelezo ya Utangulizi
Kazi
yake kubwa ni kusimamia majengo yote ya ikulu kwa maana ya shughuli za
utawala. Yeye ndiye anahusika na usafi na decorations zote zinazohusu
ikulu. Ni mtu anayeweza kuamua muonekano wa ikulu ukoje na hata kupanga
na kuamua aina ya nguo, mashuka, mapazia n.k. yanayopaswa kutumiwa na
rais. Kwa majukumu haya, anapaswa amjue vizuri rais wake.
Kwa
kuzingatia majukumu yake na tabia yake ya kifisadi kama
itakavyofafanuliwa vizuri hapo baadaye, Shabani ameingiza serikali
kwenye mikataba isiyo na tija ya kununua mapazia na furniture za bei
mbaya kutoka nje ya nchi. Unajua, ikulu inapaswa kuwa ni pride ya nchi;
ni aibu na ajabu kwa Tanzania kununua furniture kutoka Afrika Kusini
ambazo zinaweza kutengenezwa na Magereza au JKT au hata vijana wa Keko.
Tena furniture za hapa zinatumia mbao imara kuliko hizo wanazonunua
kutoka Afrika Kusini na Uarabuni. Kwa kudokezea tu, naweka ushahidi wa
manunuzi aliyofanya huyu jamaa ya mapazia na hizo furniture. Siyo kwamba
Mkwere hajui, he knows everything and he is indirectly and directly
benefiting from Shabani’s activities.
Shabani
amefanikiwa kukusanya fedha nyingi sana kutoka katika ufisadi huu na
kupitia kwenye biashara zake zinazofanikiwa kwa mgongo wa ikulu na
ukaribu wake na rais. Katika aya zinazofuata ntafafanua hili kwa undani.
Connections with JK and family
Wafuatiliaji
wa mambo wanasema mama yake Mkwere alifariki wakati Mkwere ni mdogo
sana. Hivyo Mkwere akalelewa na mama yake Shabani. Huu ndiyo undugu
uliopo. Infact, Shabani ni sehemu ya familia ya Mkwere. Ni mtu wake wa
karibu kwa masuala ya kikazi na kibinafsi. Anahusika pia hata
kuwahudumia wale wachawi wake wanaotembelea ikulu mara kwa mara. Ukiwa
unafanya kazi ikulu na ukitaka kibarua chako kiote nyasi, korofishana na
Shabani. Nakumbuka wakati fulani, Shabani ndiye alikuwa analetwa OBR
ili achukue nafasi ya Jairo kama Katibu wa Rais, kwa bahati, baadhi ya
wazee walipinga sana.
Shabani huwa anahakikisha
anapigana na kufanikisha shughuli zote za kibiashara na kisiasa
zinazowahusu watoto wa Mkwere. Vijana wangu walifanikiwa kukamata simu
yake ya mkononi wakati fulani na kukuta kwenye phonebook yake kuna
contacts zote za wafanyakazi wa ile kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd
–
Kampuni inayonunua vifaa vya kijasusi na vya kijeshi kwa niaba ya
vyombo vyetu vya dola kana kwamba vyombo vyetu haviwezi kununua vyenyewe
moja kwa moja. Utakumbuka ushiriki wa Ridhiwani kwenye kampuni hii na
michezo yao yote hasa wakati wa Gen. Shimbo. Hizi ni namba
zilizonakiriwa;
Lugumi 0789 500 900
0767 277 777
Lugumi 0754 871 168
Lugumi - Mohamed Mabruki 0715 613 432
Lugumi Kemy 0789935954
Lugumi Thobias 0767 228 876
Lugumi-Bernard Makulika 065 640 2459
Lugumi-Farida 0653 333312
Lugumi-Hassan 068 444 9046
Lugumi-Mariam 0754 300 060
Lugumi-Odemba 0756 496 750
Lugumi-Saburi 0713 509 345
Lugumi-Said 065 844 4334
Lugumi-Office 022 213 5825
Lugumi-Talita 0783 467 467
Hiyo namba ya pili ni muhimu sana, ntaitolea maelezo ya kina baada ya vijana kukamilisha kazi.
Biashara anazofanya akiwa Ikulu
Unajua
ingawa Mkwere alisema haendi ikulu kufanya biashara, kauli yake
inatofautiana na facts on the ground. Watu wake wanaomzunguka
wanajihusisha na biashara tena wakiwa hapo hapo ikulu; yeye anajua na
usalama
wa taifa wanajua vizuri sana. Mfano huyu Shabani anahusika moja kwa
moja na yuko busy sana na biashara / makampuni haya yafuatayo:
Fitness
Master (T) Ltd akiwa na 15% share. Wenzake alionao ni pamoja na raia wa
Denmark anayeitwa Jorgen Hyldahl na jamaa mmoja anayekaa UAE anayeitwa
Abdulhamid Mhona. Kampuni yao inamiliki Centers katika majiji ya Dar,
Arusha na Mwanza.
Masagalu Gold Mining Company akiwa na 25% share. Wenzake alionao ni Najim Zuberi Msenga 65% na Ahmed Salim Masood 15%
Shabani
amekuwa akisumbuliwa sana na upatikanaji wa gesi iliyogunduliwa Mtwara.
Ameamua kununua eneo, akishirikiana na Mhona kwa ajili ya ujenzi wa
majengo ya ofisi ili ayapangishe makampuni ya uchimbaji gesi na madini.
Tayari ana hakikisho la kupata wapangaji
Seven
Anchor Property and Services, kampuni anayoonekana kuimiliki kwa sehemu
kubwa yeye mwenyewe. Hawa Seven Anchor watafilisi nchi muda si mwingi.
Wanaingia michezo michafu sana ya kujitwalia majengo kwa kushirikiana na
NSSF wakitumia staili kama ile ya Quality Plaza ambayo kipindi kile
iliripotiwa sana na gazeti letu pendwa la ThisDay. Kwenye dossier ya
pili itakayokuwa na viambatisho tutaweka ushahidi wa mauziano (receipt)
na mikataba waliyosainishiana na NSSF kwa msaada mkubwa wa Dr. Dau.
Shabani’s Business Intrigues
Connections with Yussuf Manji (Fisadi Papa)
Shabani
na Manji ni wasiri wakubwa sana. Shabani amefikia kuwa kama speech
writer wa Manji. Nakumbuka kuna barua moja ambayo Manji alitaka
kumuandikia rais kuhusu masuala ya Yanga. Ni Shabani ndiye alii draft na
kumpatia Manji ili aisaini. Hapa nitaweka ushaidi mwingi wa
kimawasiliano kati yao hatua kwa hatua endapo yeye au mtu yeyote
atajitokeza kubisha. Ushahidi umekusanywa kupitia simu na njia nyingine
nyingi.
Manji na Shabani wanashirikiana sana
katika kufanya serikali ikubali na kupitisha miradi ya Manji hata kama
taratibu za PPRA hazifuatwi. Ni Manji ambaye humpa mbinu Shabani za
namna gani taratibu za PPRA zikiukwe; ushahidi upo kwenye sakata la
Tender No
PA/001/12/HQ/G/001 Closing Date 12th
October, 2012 inayohusu Supply of ABC Cables, Conductors and its
Accessories hii ni mradi wenye thamani USD 60.0 million. Ni fedha nyingi
sana. Mradi mwingine ni ule wenye thamani ya usd 35 milioni kupitia
Tender No PA/001/12/HQ/G/002 unohusu
Supply of
Meters, HT Metering Units and LV Metering Cabinets. Miradi yote hii
inawahusu Manji na Shabani kwa asilimia 100%. Habari nilizonazo, tayari
Shabani ameanza kuchezesha huu mchezo pale tanesco.
Mradi
mwingine ambao Shabani ameelekezwa na Manji ni ule Tanzania Oil and Gas
Investments. Mchezo waliucheza kwa kushirikiana na bosi wa TPDC. Katika
eneo la nishati na madini, hapa wanataka kuingia ndani sana na ndiyo
maana wakasajili ile kampuni. Ushahidi
uliwekwa
hapa unaelezea kidaga ubaga. Wataanzisha miradi mikubwa mikubwa kama ya
ethanol, methanol n.k. n.k. Wataanzisha miradi ya utengenezaji TV.
Shabani anakuwa ni kiungo muhimu sana kwa Manji na wakubwa wengine…
Licha
ya Manji, Shabani anatumika vizuri sana wafanyabiashara wengine kama
Jack Gotham 0786 468426 na Almasi Maige 0754 377776. Bw. Gotham ni
kiungo chake kwenye ule mradi wa national Ids na Bw. Maige ni kiungo
chake na kampuni ya General Electric ya Marekani ambayo inafukuzia mradi
wa umeme wa NSSF. Habari nyingine zinaniambia kwamba kuna mikataba hewa
ambayo Shabani ameifanikisha kati ya Ikulu na Maige na kuwa hawa jamaa
hulipwa kila mwaka bila kazi yoyote. Undani wa mahusiano yake na hawa
jamaa unakamilishwa.
Extra notes
Kwa
sababu simu ya huyu bwana Shabani iko kwenye miliki yetu, muda si
mwingi utapata mawasiliano yake hasa na watu ambao wanaonekana wako
kwenye system nyeti. Kwa haraka nimeona majina ya kina Kapongwa na Zoka
na maafisa usalama wengine wengi ambayo yameanza kujitokeza kwenye hii
michezo hivi karibuni.
Huyu ndiye Shabani Rajab
Gurumo. Hii dossier ni hatua ya mwanzo katika kuumbua uozo unaofanywa
na kichwa cha serikali ya ccm. Ni hatua muhimu katika kurejesha
uwajibikaji unaostahili kufanywa na viongozi wa nchi.
<WANABIDII>
No comments:
Post a Comment