Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 5 January 2014

HAPA NDIPO ATAZIKWA MGIMWA


 Kaburi li wazi! Ndipo mahali ambapo mwili wa marehemu William Mgimwa utalala katika Kijiji cha Magunga wilayani Iringa Vijijini.

 Mama mzazi wa marehemu William Mgimwa, Bi Consolata (katikati) akiwa katika majonzi makubwa.
Hapa ni katika Kijiji cha Magunga wilayani Iringa ambako ndiko mwili wa marehemu Mgimwa utazikwa. (Picha zote kwa hisani ya Mjengwablog.com).

No comments:

Post a Comment