Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia) akimkaribisha ofisini kwake jijini Dar es Salaam Agosti 3, 2016,
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi
(UNHCR), Chansa Kapaya , . Viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ya
kuwahudumia Wakimbizi nchini.(PICHANA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia) akimsikiliza
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuwahudumia Wakimbizi
(UNHCR), Chansa Kapaya alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es
Salaam leo. Viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ya kuwahudumia
Wakimbizi nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia), akimkaribisha ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2016,Balozi
wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp, ambapo walifanya mazungumzo ya
ushirikiano wa mataifa hayo mawili katika eneo lausalama wa raia
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na
Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Tanzania na Uturuki. Mazungumzo hayo yalifanyika
ofisini kwa Waziri jijini Dar es Salaam Agosti3, 2016
No comments:
Post a Comment