Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 3 August 2016

NACTE 'YAKUNJUA MAKUCHA', YAFUTA USAJILI WA VYUO VITANO, 175 YAVISHUSHA HADHI HUKU 41 VYATAKIWA KUJISALIJI UPYA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Mhandisi Steven Mlote (kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo Agosti 3, 2016 jijini Dar es Salaam, wakati alipokuwa akitoa tamko la baraza hilo juu ya kuvifutia Usajili baadhi ya vyuo ambapo kati ya 175 vimepewa notisi ya kushushwa hadhi na 5 vimefutiwa Usajili na 41 vimetakiwa kujisajili mara moja, ikiwa katika jitihada za kuboresha elimu ya ufundi nchini.


Baadhi ya wafanyakazi wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) wakiwa kwenye mkutano wakati Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhandisi Steven Mlote(hayupo pichani)alipokuwa akiongea na waandishi habari jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment