Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 3 August 2016

MTEMVU AENDELEA KUPIGANIA UBUNGE MAHAKAMANI

 Aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akiwa katika chumba cha Mahakama kabla ya kuanza kusikilizwa kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.
 Wafuasi wa aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu wakiwa katika chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania kabla ya kuanza kusikilizwa
  Mbunge wa Jimbo la Temeke,  Abdallah Mtolea (kulia) akiteta jambo na Mwanasheria wa Serikali ambae jina lake halikupatikana mara moja katika chuma cha Mahakama Kuu ya Tanzania   mara baada ya kesi hiyo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015,  kuahirishwa
 Aliekua Mbunge wa Jimbo la  Temeke,  Abbas Mtemvu (wapili kulia)  akitoka nje ya mahakama kuu ya Tanzania baada ya kesi hiyo ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015


Katibu mwenezi Kata ya Miburani Ally Kamtande akizungumza na wafuasi wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu baada ya kumalizika kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge . (PICHAZOTE NA KHAMISI MUSSA

No comments:

Post a Comment