Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John
Mongella mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Sengerema
mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wanakwaya wa UWT Kisima cha maji
Chumvi mara baada ya kuhutubia wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwalimu Mstaafu wa Shule ya
Sekondari Sengerema Wilson Fumbuka Mbanga ambaye walifundisha naye shule hiyo
tokea mwaka 1982-1985 mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara Sengerema
Mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wakazi wa Sengerema mkoani
Mwanza mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Busisi wakati akielekea
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya kivuko cha MV. Misungwi wakati
akielekea mkoani Mwanza. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment