Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akieleka
ukumbi wa mkutano wakati wa kikao alichofanya na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani.Kushoto ni Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman
Kaniki na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed
Mpinga. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es
Salaam. Askari Polisi hao ni wadau muhimu katika kufanikisha Mkakati wa Baraza wa kukabiliana
na ajali za barabarani nchini uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akiwa
amesimama wakati askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani(hwapo pichani),
wakiimba wimbo wa maadili wa Jeshi la Polisi. Kushoto ni Naibu Inspekta
Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha
Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga. Mkutano huo ulifanyika katika
ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni wadau
muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini,
uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano
huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani,
Kamanda Mohamed Mpinga, ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, akizungumza na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni wadau
muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini,
uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano huo
ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Mkutano huo
ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, Edwin Ngonyani, akizungumza na askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama
Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni wadau
muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini,
uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano
huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Mkutano
huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha
Usalama Barabarani, akiuliza swali wakati wa mkutano ambao mgeni Rasmi alikuwa Naibu
Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la
Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi
Hamad Masauni(hayupo pichani) .Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi
Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha
Usalama Barabarani, wakimsikiliza Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) wakiwa
ni wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani
nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano
huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam. (Picha
Zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment