Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Monday, 8 August 2016
MTATURU: WANANCHI WANATAKIWA KUFUGA KUKU SIO KUISHI NA KUKU
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu akikagua
kuku waliofungwa kisasa ambapo jogoo mmoja aliyefikisha umri wa mwaka mmoja
anauzwa shilingi 20,000.
No comments:
Post a Comment