Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia masuala
ya Ujenzi Injinia Joseph Nyamhanga kushoto
akimuonyesha Balozi wa Italia Bwana Roberto Mengoni baadhi ya barabara
ambazo zimependekezwa kuombewa mkopo wa masharti nafuu kutoka serikali ya
Italia.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia masuala ya Ujenzi Injinia Joseph
Nyamhanga akimuonyesha Balozi wa Italia
Bwana Roberto Mengoni( kulia) baadhi ya barabara ambazo zimependekezwa kuombewa
mkopo wa masharti nafuu kutoka serikali ya Italia, kushoto ni Mkurugenzi wa
barabara nchini Injinia Ven Ndiyamukama.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia masuala
ya Ujenzi Injinia Joseph Nyamhanga
akimuonyesha Balozi wa Italia Bwana Roberto Mengoni( kulia) baadhi ya
barabara ambazo zimependekezwa kuombewa mkopo wa masharti nafuu kutoka serikali
ya Italia, kushoto ni Mkurugenzi wa barabara nchini Injinia Ven Ndiyamukama.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia masuala ya Ujenzi Injinia Joseph
Nyamhanga akimuonyesha Balozi wa Italia
Bwana Roberto Mengoni( kulia) baadhi ya barabara ambazo zimependekezwa kuombewa
mkopo wa masharti nafuu kutoka serikali ya Italia, kushoto ni Mkurugenzi wa
barabara nchini Injinia Ven Ndiyamukama
No comments:
Post a Comment