Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 20 September 2014

UKRAINE, POLAND NA LITHUANIA ZAUNDA JESHI




Ukraine, Poland na Lithuania zimekubaliana kuunda jeshi la pamoja litakaloshirikisha maelfu ya wanajeshi.
Akizungumza baada ya mataifa hayo matatu kutia sahihi makubaliano hayo mjini Warsaw,rais wa Poland Bronislaw Komorowski amesema kuwa jeshi hilo linatarajiwa kufanya zoezi lake la kwanza la kijeshi mwaka huu na kwamba litashirikisha oparesheni za kulinda amani.
Kitengo hicho cha jeshi kitakuwa na makao yake makuu katika mji wa mashariki mwa Poland Lublin,ikiwa ni kilomita chache kutoka mpaka wa Ukraine.
Mpango wa Jeshi la pamoja ulianzishwa mnamo mwaka 2007 ,na sasa unaonekana kupigwa jeki na wasiwasi uliozushwa na jeshi la Urusi katika eneo hilo.
BBC

No comments:

Post a Comment