Mkurugenzi wa Kampuni ya Haakneel Production Emmanuel Mahendeka ambayo ni waandaaji wa Siku ya Msanii akimwongoza Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel kutia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kuzindua matukio ya Siku ya Msanii (SYM, 2016) kwa mwaka 2016 kwenye Ukumbi wa Alliance Francaise mwishoni mwa wiki.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Showing posts with label BIASHARA. Show all posts
Showing posts with label BIASHARA. Show all posts
Monday, 30 May 2016
Saturday, 2 April 2016
WAZIRI NAPE ALIPOKUTANA NA WASAMBAZAJI WA FILAMU NA MUZIKI NCHINI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na
wasambazaji wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na
wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya
wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM).
Saturday, 26 March 2016
Saturday, 12 September 2015
Wednesday, 9 September 2015
UMEME WA PUMBA ZA MCHELE, MASHUDU YA PAMBA WATUMIKA KUENDESHEA MITAMBO YA TBL MWANZA
Meneja wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mwanza, Raymond Richmond,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampuni hiyo kutumia mapumba ya mchele na mashudu ya pamba,kama chanzo cha nishati ya umeme kinachotumika kuendeshea mitambo.Kushoto ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi.
BI. SAMIA SULUHU AAHIDI UMEME KILA KIJIJI RUVUMA, VIWANDAVYA MAHINDI, KAHAWA
MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu ameanza ziara yake mkoani Ruvuma akiinadi ilani ya chama hicho huku akiahidi neema kwa wakulima wa kahawa na mahindi wa mkoa huo.
MAGUFULI AAHIDI KUFUFUA VIWANDA MKOANI TANGA,KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Tanga waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,uliofanyika katika viwanja vya Tangamano jioni ya leo mjini Tanga.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya angamano,jioni ya leo ambapo aliahidi kuboresha Bandari ya Tanga, kujenga Viwanda vya matunda na samaki ili kuweza kupunguza tatizo kubwa la ajira kwa vijana.
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, ambaye pia ni mgombea Ubunge viti maalum upande wa akina Mama mkoa wa Tanga (UWT), Mh Ummy Mwalimu akimuombea Kura za kutosha mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ili aweze kuibuka mshindi na kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano.
Wakazi wa mji wa Tanga waliofika kwenye mkutano huo wakishangilia jambo.
Nyomi la watu .
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na mgombea ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba akihutubia wakazi wa mji wa Tanga kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa Tanga na vitongoji vyake wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya Tangamano kwenye mkutano wa kampeni za CCM,ambapo Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli aliwahutubia wananchi hao.
Dkt Magufuli akisisitiza jambo mbele ya maelfu ya wananchi (hawapo pichani) jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika uwanja wa Tangamano.
Naibu Waziri wa Fedha na mgombea ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Tanga mjini kwenye mkutano uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la Bumbuli Mhe. January Makamba na Naibu Waziri wa Fedha na mgombea ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa kampeni jioni ya leo katika uwanja wa Tangamano,ambapo Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alihutubia na Kumwaga sera zake kwa wananchi,ikiweno na kuomba ridhaa ya kuwaongoza katika miaka mitano ijayo.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Yusuph Makamba akihutubia wakazi wa Tanga mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika ndani ya viwanja vya Tangamano.
Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akimwaga sera zake na kuwaomba wananchi hao wajitokeze kwa wingi Oktoba 25 na kumpigia kura ya ndio ili aibuke mshindi na kupewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa mji wa Tanga waliofika kwenye mkutano hadhara wa kampeni,uliofanyika jioni ya leo katika viwanja vya Tangamano mjini humo na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu.
PICHA NA MICHUZI JR-TANGA
PICHA NA MICHUZI JR-TANGA
Tuesday, 8 September 2015
MIGODI YA SHABA KUFUNGWA ZAMBIA NA CONGO

Taarifa kutoka kwa kampuni kubwa ya uchimba ugodi Glencore imesema kuwa imesitisha uzalishaji wa madini ya shaba katika nchi ya jamhuru ya kidemokrasia ya Congo na Zambia.
Monday, 7 September 2015
KIOTA KIPYA CHA BIASHARA MTANDAONI - MAVAZI STORE
Kampuni ya ConnectMoja Technologies Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz) ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni.
Sunday, 6 September 2015
ACACIA YAIDHAMINI STEND UNITED KWA KITITA CHA BILLIONI MOJA
Saturday, 5 September 2015
SERIKALI YA AWAMU YA TANO NI YA VIWANDA - SAMIA SULUHU
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Thursday, 3 September 2015
TAMASHA LA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR LITAANZA KUFANYIKA KESHOKUTWA MKURANGA MKOANI PWANI
Ofisa Habari wa Kituo cha Redio cha EFM, Samira Sadiq (kushoto), akizungumza na wanahabari (hawapo pichani), kabla ya kumkaribisha Meneja wa Mawasiliano wa redio hiyo kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu tamasha la muziki mnene bar kwa bar litakaloanza kesho kutwa Jumamosi, Agosti 5, 2015 Mkuranga mkoani Pwani. Kulia ni Meneja Usambazaji na Mauzo wa Kampuni ya Simu ya Smart, Haidari Chamshama na katikati ni Meneja wa Mawasiliano wa EFM Redio, Denis Ssebo. Kampuni ya simu ya Smart wamedhamini tamasha hilo.
Tuesday, 1 September 2015
WATAKIWA KUKATA LESENI ZA UCHIMBAJI MADINI
Wachimbaji wadogo wakiwa kwenye mkutano
Na Hastin Liumba, Nzega
OFISI ya Afisa Madini Mkazi Tabora imewataka wafanyabiashara wa madini Mgodi mdogo wa dhahabu wa Mwanshina uliopo wilayani Nzega Mkoani Tabora kukata Leseni za Biashara hiyo ili waweze kuwa na sifa na kukidhi mahitaji ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2010.
WACHIMBAJI 2,500 WAHOFIA KUTIMULIWA BAADA YA UCHAGUZI
Wachimbaji wadogo
Na Hastin Liumba, Nzega
ZAIDI ya wachimbaji wadogo 2,500 katika mgodi mdogo wa dhahabu wa Mwanshina uliopo wilayani Nzega Mkoani Tabora wamehofia kufukuzwa mara baada ya uchaguzi mkuu.
Monday, 31 August 2015
MAOFISA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Peter Sima na baadhi ya askari wa kikosi hicho wakimsikiliza kwa makini mtaalamu wa kusindika bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emanuel Sawe (kushoto), walipotembea kiwanda hicho, Dar es Salaam kushiriki semina fupi ya wiki ya nenda kwa usalama na TBL.
GESI NYINGI YAGUNDULIWA MISRI

Kampuni ya mafuta ya Italia, Eni, inasema imegundua katika mwambao wa Misri, moja kati ya visima vikubwa kabisa duniani vya gesi.
Thursday, 27 August 2015
CHAGUA TIGO PESA
Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi katika uzinduzi wa kampeni ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.
MGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA
Subscribe to:
Posts (Atom)





























