Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 27 September 2014

BAADA YA KOROGWE, KINANA AWASILI LUSHOTO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wilaya ya Lushoto Ndugu Antepass Richard Mbughuni, Katibu Mkuu ameanza ziara wilaya ya Lushoto ambapo atashiriki shughuli za maendeleo pamoja na kufanya mikutano kuimarisha Chama Cha Mapinduzi .
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  akiwasalimia wananchi wa JEGESTAL wakati wa mapokezi wilayani Lushoto.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa JEGESTAL kabla ya kuanza kushiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la JEGESTAL Lushoto Tanga.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la JEGESTAL Lushoto, Katibu Mkuu wa CCM anafanya ziara mkoani Tanga kuimarisha chama.

No comments:

Post a Comment