Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 24 September 2014

ABU QATADA HANA HATIA YA UGAIDI

Abnu Qatada alikabiliwa na tuhuma za kupanga njama ya mashambulizi ya kigaidi nchini Jordan
Mahakama nchini Jordan haijampata na hatia ya tuhuma za kigaidi Mhubiri wa kiisilamu anayesemekana kuhubiri itikadi kali Abu Qatada.
Jopo la majaji wa kiraia waliokuwa katika mahakama hiyo, hawakumpata na hatia yoyote bwana Qatada
kutokana na madai kuwa alihusika na njama iliyotibuliwa ya kushambulia sherehe za mwishoni mwa mwaka 2000.
Uamuzi huo umetolewa baada ya Abu Qatada kutopatikana na hatia mwezi Juni katika kosa lengine la kupanga njama ya mashambulizi mwaka 1998 nchini Jordan.
Abu Qatada alitimuliwa kutoka Uingereza mwezi Julai mwaka 2013 kwa madai ya kueneza itikadi kali.
CREDIT: BBC/SWAHILI

No comments:

Post a Comment