Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 14 August 2014

KWA WADADA: UNATAKA TUMBO LAKO LIWE FLAT? FANYA HIVI - 10


LEO NI MAZOEZI YA MASHINE
Katika siku ya 10 ya mfululizo wa mazoezi ya kupunguza unene wa tumbo pamoja na mafuta na kulifanya tumbo lako liwe flat, leo unatakiwa kufanya mazoezi ya mashine kwa kutumia mikono kufusukuma.
Zoezi hili muhimu ni la dakika 30 tu za kasi, lakini litakusaidia sana kupata pumzi na kuondoa mafuta mwilini.
Unaweza kulifanya zoezi hili ukiwa gym, ambapo mashine hizi zinapatikana, ambapo unatakiwa kufanya kwa vipindi maalum.
Unaweza kuchapisha chati hiyo hapo chini kwa maelekezo zaidi.
TIMERESISTANCESPM*NOTES
00:00-3:003130Warmup
03:00-5:006140
05:00-08:007140-150
08:00-09:008190-200Sprint
09:00-12:006150-160
12:00-13:008190-200Sprint
13:00-16:007140-150
16:00-17:008190-200Sprint
17:00-20:006140-150
20:00-21:007190-200Sprint
21:00-24:006150-160
24:00-25:008190Sprint
25:00-28:006150
28:00-30:004140Cooldown

Pata Salad ya Kabichi

Salad hii ya kabichi ni nzuri sana kwa afya hasa kama hutaki kuongeza mafuta. Ina ladha nzuri pia na inasaidia mmeng'enyo wa chakula.

No comments:

Post a Comment