Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 18 August 2014

KWA WADADA: UNATAKA TUMBO LAKO LIWE FLAT? FANYA HIVI - 13

DAKIKA 30 ZA MAZOEZI YA PUMZI NA DAKIKA 10 ZA MAZOEZI YA VIUNGO

Ni siku ya 13 ya mazoezi ya kukuweka wewe mwanadada katika hali safi na kulifanya tumbo lako liwe flat. Leo unatakiwa kufanya mazoezi ya pumzi kwa dakika 30 ambayo hatimaye yatafuatiwa na mazoezi magumu ya viungo.
Chagua mwenyewe na zoezi gani la pumzi linakufaa - kukimbia, kuendesha baiskeli, kuogelea, kucheza - na uhakikishe uanafanya zoezi hilo kwa ustadi mkubwa kwa dakika 30.




Baada ya hapo fanya mazoezi ya viungo kwa dakika 10.
PATA MSOSI HUU
Pata chakula ambacho hakina wanga. Hii itasaidia kupambana na unene wa tumbo.

No comments:

Post a Comment