Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 19 August 2014

LEO NI ARSENAL VS BESIKTAS LIGI YA MABINGWA ULAYA

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger

Beki wa kushoto wa Arsenal, Kieran Gibbs atakosa mechi zote za ligi ya mabingwa dhidi ya Besiktas baada ya kuumia eneo la uvungu wa goti.
Gibbs atakaa benchi kwa takriban majuma matatu baada ya kuumia wakati wa mchuano kati ya Arsenal na Crystal Palace siku ya jumamosi.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema anatamani kupambana na timu zilizo juu zaidi barani ulaya.Pia mshambualiaji Yaya Sanogo hajasafiri kwenda uturuki kwa ajili ya mpambano wa leo
Siku ya jumanne Arsenal itacheza mechi ya kwanza dhidi ya Basiktas nchini Uturuki.
Arsenal iliidhidbiti klabu nyingine ya Uturuki Fenerbahce katika hatua ya makundi msimu uliopita.
BBC/MICHEZO

No comments:

Post a Comment