Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 13 August 2014

KWA WADADA: UNATAKA TUMBO LAKO LIWE FLAT? FANYA HIVI - 9












Dansi la Capoeira 
Unalijua dansi la Capoeira wewe? Hili ni dansi, lakini ni sanaa maarufu ya Kibrazili ambayo iko kama mazoezi ya sanaa ya kujihami (martial art). 
Sanaa hii inahusisha tumbo, miguu, mikono, na mgongo kutoka kila kona. Unahitaji kuwa na pumzi ya kutosha na pia agana na viungo vyako ili uweze kuvipinda pinda.
Katika siku ya tisa leo, ndilo ambalo utalifanya kwa muda usiozidi ama kupungua nusu saa. Unaweza kutazama kwenye video hii (30-minute video workout) ambapo ukibonyeza tu, basi jiandae kutoka jasho!
Mazoezi haya yanakusaidia kupunguza unene wa tumbo pamoja na mafuta, na hivyo kudumisha urembo wako.

No comments:

Post a Comment