Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 15 January 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AKUTANA NA UJUMBE WA SERIKALI YA CHINA

Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto akimpa zawadi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel mara baada ya mazungumzo ya uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea naKiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali ya Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea nana Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. LeahKihimbi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. LeahKihimbi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yapingwa kwanza kushoto akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kulia kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)

No comments:

Post a Comment