Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akifungua
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),
katika ukumbi wa Chuo cha Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa
Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Rogatius Kipali, akitoa shukrani kwa
mgeni rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali
Projest Rwegasira (hayupo pichani), baada ya kufungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Jeshi hilo
uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha
Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja
Jenerali Projest Rwegasira (wa tatu kutoka kulia), akiwa katika picha ya pamoja
na viongozi pamoja na washiriki wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, ulifanyika katika ukumbi wa Chuo cha Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam. Wa tatu kutoka
kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Injinia Pius Nyambacha na wa poli kutoka kushoto ni Mkurugenzi
wa Utalawa na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Lilian Mapfa.
(Picha zote na Kitengo
cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
No comments:
Post a Comment