Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 10 August 2014

KWA WADADA: UNATAKA TUMBO LAKO LIWE FLAT? FANYA HIVI - 6

Chanzo: Corbis

Dakika 30 za mazoezi ya pumzi na dakika 10
Leo ni siku ya sita ya mfululizo wa mazoezi au mbinu za mazoezi yatakayokufanya ewe mwanamama ulipunguze tumbo lako liwe flat na kukufanya upendeze - pengine kuliko ulivyo sasa.
Kama uko kwenye gym chaguo zoezi lolote linaloweza kukufanya uongeze pumzi kama vile kukimbia, kuendesha baiskeli, kuogelea na kudansi na hakikisha kwamba unalifanya zoezi hilo kwa umakini mkubwa na kwa kasi ile ile kwa kipindi cha nusu saa.





Pata cream ya Strawberry na Ndizi
Cream hii imetengenezwa na mchanganyiko wa matunda ambayo yawezekana yapo jikoni kwako. Strawberry, ndizi na mtindi, ambayo haiongezi unene mwilini. Ni nzuri sana kwako.

No comments:

Post a Comment