Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 20 June 2015

MAJANGA MAKUBWA: WATU 74 WAFARIKI KWA KUNYWA POMBE INDIA


Wakaazi wa eneo la maskini la mjini Mumbai, India, wanaomboleza baada ya watu kadhaa kufa kutokana na pombe iliyokuwa na sumu.

Polisi wanasema watu waliokufa kutokana na pombe ya kienyeji iliyokuwa na sumu idadi imeongezeka na kufikia 74.
null
watu 74 wamefariki kutokana na pombe hiyo
Wengine ni mahtuti.
Watu kadha wamekamatwa kwa kuuza pombe hiyo, na polisi wanane wamesimamishwa kazi kwa muda, wakituhumiwa kuwa waliruhusu pombe hiyo kuuzwa katika eneo lao.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment