| Baadhi ya abiria wakiwa wamelala juu ya mawe bila shaka kwa njaa. |
| Dereva wa gari hilo katikati akiwa kajiegesha katika jiwe |
| Baadhi ya familia zenye watoto katika msafara huo uliokwama Sukamahela |
| Tumekwama! abiria wakijadiliana la kufanya! |
| Hapa ndipo kipande cha nyuma cha proprla shafti kilipochomoka |
| Ubovu kama huu inaelekea si wa siku moja, bila shaka gari hii haijafanyiwa uangalizi kwa kipindi kirefu jambo ambalo ni hatari kwa abiria na waliomo garini. |
| Tukifaulishwa. |
| Ndani ya Hiace |
| Basi la Shabiby likwa tupu baada ya abiria kufaulishwa baada ya masaa mengi ya sintofahamu |
Picha na habari na Mkala Fundikira Dodoma
No comments:
Post a Comment