Meneja uzalishaji wa TBL, Bw. Charles Nkondola akikabidhi zawadi ya bia aina ya Kilimanjaro Twist kwa mshindi wa tatu wa kutambua aina ya ladha ya Bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TB)L, Aloyce Ndeileko wa This Day, iliyofantika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini masharti ya ushindi ya muomnjaji bora wa ladha za bia za TBL
Mpishi Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Bw. Benjamin Budigila (kulia), akitoa maelezo kwa waandishi wa habari walipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo baada ya semina ya siku moja kuhusu matumizi ya pombe kupita kiasi.
Mpishi Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Benjamin Budigila akiwaonyesha waandishi wa habari jinsi wanavyotumia mtandao wa Komputa kuhakiki viwango katika suala zima la uzalishaji wa vinywaji wa kampuni hiyo.
Matokeo yakitangazwa
Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakimsikiliza kwa makini, Mpishi Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Benjamin Budigila
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mush, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu shindano maalumu la kutambua harufu na radha ya aina ya Bia zinazotengenezwa na TBL.
Mhariri wa Business Times, Mnaku Mbani akiangalia glasi zenye aina mbalimbali ya Bia, wakati wa shidano la kutambua aina ya bia.
Meneja wa Maabara ya Kampuni ya Bia Tanzania Tanzania, Bi. Conchesta Ngaiza (kulia), akizungumza na waandishi wa habari walipofika kwenye maabara ya kiwanda hicho, baada ya semina ya siku moja kuhusu matumizi ya pombe kupita kiasi.
Afisa Uhusiano wa TBL, Editha Mush akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari walioshiriki semina ya siku moja, Waandishi hao pia walitembelea mitambo mbalimbali ya kiwanda cha uzalisha bia cha TBL.
Mpigapicha wa Uhuru, Christopher Lissa akiwa tayari kwa mashindano ya kutambua aina ya Bia za TBL.
Meneja Usalama na Afya wa kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Bw. Renatus Nyanda akiwaelekeza waandishi wa habari kuvaa vifaa maalumu vya usalama kwa ajili ya kufanya matembezi kuangalia kazi mbalimbali zinazofanyika kiwandani hapo.
No comments:
Post a Comment