Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 15 April 2015

UCHUMI WA CHINA WAANZA KUPOROMOKA

Kiwanda kimojawapo nchini China
Wataalam wa masuala ya uchumi wamesema kuwa China inakabiliwa na wimbi la kushuka kwa ukuaji wa uchumi wa taifa hilo la pili duniani katika kasi ya kukua kiuchumi.

Kiwango cha ukuaji wa uchumi wa taifa hilo kwa mwaka cha asilimia saba katika miezi mitatu ya mwanzo,ikilinganishwa na miezi hiyo hiyo mwakajana inaonyesha kushuka kwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa China katika miaka sita mfululizo.
Serikali ya China inadaiwa kupunguza kasi ya ukuaji wa uchumi wa taifa lake ili kuendana na malengo ya muda mrefu ya taifa hilo katika mipango ya kiuchumi.
Lakini wataalam wa uchumi wana wasiwasi kuwa huenda uchumi wa China ukazidi kudorola hadi kufikia kiwango cha chini zaidi.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment