Meneja
wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili
kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya
kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es
Salaam jana. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh.
milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi
wa maeneo hayo. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano
TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano
Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akimuonesha Mbunge wa Ilala,
Mussa Zungu moja ya nguo za kufanyia usafi wakati walipokabidhi vifaa
vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar
es Salaam jana.

Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akizungumza wakati wa hafla
hiyo, kiwandani jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mbunge wa Ilala,
Mussa Zungu aliyekabidhiwa vifaa hivyo.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin, akizungumza wakati wa kukabidhi
vifaa vya usafi kwa Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto) kwa ajili ya
kufanyia usafi maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam. Kiwanda
hicho kilikabidhi vifaa mbalimbali vya usafi vyenye thamani ya sh.
milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi hiyo
kwenye maeneo hayo.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa
Ilala, Mussa Zungu baadhi nguo za kuvaa wakati wa kufanya usafi, wakati
TBL ilipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya
Mchikichini na Jangwani jijini Dar es Salaam jana. Kulia anayemsaidia ni
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa
Ilala, Mussa Zungu, reki za kufanyia usafi.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa
Ilala, Mussa Zungu, reki na glovu za kufanyia usafi. Kulia anayemsaidia
ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa
Ilala, Mussa Zungu, mfano wa hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi za
usafi wa maeneo hayo. Wengine pichani ni baadhi ya Wenyeviti wa Mitaa
ya maeneo hayo.

Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu
(kulia), akizungumza na Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Calvin Martin (kushoto), wakati wa makabidhino hayo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu
(kulia), akizungumza na Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Calvin Martin (wapili kulia), wakati wa makabidhino hayo. Wapili
kushoto ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu na kushoto
ni Mhandishi wa Ujenzi, Kiwanda cha TBL, John Malisa.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu,
akiwapa nasaha viongozi wa maeneo hayo, juu ya kuvitunza vifaa hivyo vya
usafi pamoja na mambo mengine.
(www.bayana.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment