
Hivi ni kweli viongozi tuliowapa dhamana wanatumia vyeo vyao kufanya ufisadi kwa sababu ya kushawishiwa na matajiri?
Au ni njia nyingine ya kurudisha fedha zao walizozitumia kununua kura na viparata wakati wa uchaguzi?
Watanzania wamepoteza uzalendo na ndiyo maana wakati mwingine natamani sana tumpate 'Rais mwenye uso wa mbuzi' ambaye hatamuangalia yeyote usoni.
Tusipofanya hivyo hakika makaburi yetu yatachapwa viboko na wajukuu.
Mbega,
Safarini Sumbawanga
No comments:
Post a Comment