Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 12 April 2015

HOFU YA SHAMBULIZI YAZUA MAUTI KENYA

Baadhi wa chuo kikuu cha Garissa waliotoroka shambulizi la alshabaab
Mwanafunzi mmoja amefariki na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa baada ya kukanyagana katika chuo kimoja kikuu nchini Kenya.

Wanafunzi hao walibabaika baada ya kudhania mlipuko uliotokea katika mti wa stima ulikuwa wa shambulizi la kigaidi.
Walitoroka vyumba vyao vya kulala huku wengine wakiruka kutoka madirishani.
Siku kumi zilizopita watu 148 waliuawa katika shambulizi lililotekelezwa na wapiganaji wa alshabaab katika chuo kimoja nchini Kenya.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment