Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 4 September 2015

TIMU YA TAIFA YAENDA CONGO BRAZAVILLE KWENYE MICHEZO YA AFRIKA

Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi  jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), kushoto aliyevaa suti ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM).

Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) jana jioni  tayari kwa kuanza safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika (All African Games). (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM).
Mkurugenzi  Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leonard Thadeo kushoto akimkabidhi mmoja wa wanariadha Bendera ya Taifa tayari kwa safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games), Timu hiyo iliondoka jana jioni na ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM).

No comments:

Post a Comment