![2.Watoto wakizidi kumshangaa mtaalamu huyo wa kutembelea baiskeli ya taili moja.](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/2.Watoto-wakizidi-kumshangaa-mtaalamu-huyo-wa-kutembelea-baiskeli-ya-taili-moja..jpg)
![3.Masai warriors wakionesha madoidi yao kwa watoto wao.](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/3.Masai-warriors-wakionesha-madoidi-yao-kwa-watoto-wao..jpg)
![4.Mmoja wa wanakikundi cha Masai Warriors akionesha ujanja wa kukunja viongo vyake siku ya Idd El Hajj jana nyakati za jioni.](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/4.Mmoja-wa-wanakikundi-cha-Masai-Warriors-akionesha-ujanja-wa-kukunja-viongo-vyake-siku-ya-Idd-El-Hajj-jana-nyakati-za-jioni..jpg)
![5.Watoto wakizidi kupokea burudani mwanzo mwisho kwa Massai Warriors.](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/5.Watoto-wakizidi-kupokea-burudani-mwanzo-mwisho-kwa-Massai-Warriors..jpg)
![6.Mtaalamu wa kuchezea baiskeli akionesha ujanja wake mbele ya watoto hao.](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/6.Mtaalamu-wa-kuchezea-baiskeli-akionesha-ujanja-wake-mbele-ya-watoto-hao..jpg)
![7....wakendelea kuonesha utaalamu wao.](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/7....wakendelea-kuonesha-utaalamu-wao..jpg)
WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.
Katika kusherehekea sikukuu hiyo, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijiniDar es Salaam, kulikuwana tamasha lililotambulishwa kama ‘Amerudi Night’ ambapo kikundi cha Masai Warriors waliwapagawisha watoto kwa kuonesha michezo mbalimbali ikiwemo sarakasi, kuchezea baiskeli na michezo mbalimbali.
NA DENIS MTIMA/GPL
No comments:
Post a Comment