Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 25 September 2015

TBL YADHAMINI MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA NCHINI

 Ofisa Uhusiano wa TBL Doris Malulu, akizungumza na wadau wafanyabiashara wa vinywaji vyao katika semina ya biashara Dar es Salaam jana,ambao wanafadhiliwa na TBL.(kulia) ni Mkufunzi Msimamizi Taasisi ya washauri wa Biashara (TAPBDS CO LTD) Joseph Migunda.

 Sehemu ya Wafanya biashara wakisikiliza kwa makini wakati semina hiyo ya jinsi ya kuendesha biashara.ya vinywaji vyao

  Mkufunzi Msimamizi Taasisi ya washauri wa Biashara (TAPBDS CO LTD) Joseph Migunda akiendesha mafunzo hayo
 Ofisa Uhusiano wa TBL Doris Malulu, akizungumza na wadau wa biashara (pichani hawapo) ambao wanafadhiliwa na TBL wakati wa semina ya kuboresha biashara.vinywaji vyao
 Mshauri wa Biashara, Nyainja Manyama, akizungumza na wafanya Biashara mbalimbali (pichani hawapo) wakati wa semina hiyo iliyo fanyika Dar es Salaam

Maofisa wa TBLK wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara hao

No comments:

Post a Comment