Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday 30 September 2015

FRIENDS PUB YA SEGEREA NA CHECKPOINT CHANIKA BAA ZA WIKI TUSKER FANYAKWELI KIWANJANI

Mkazi wa Chanika Kay Christopher akipokea zawadi yake ya fulana kutoka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Chanika Tesha Stanslaus (Kulia) wakati wa kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwa mara ya pili kwenye Kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli kiwanjani. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash.

Mkazi wa Vingunguti-Darajani akiifurahia zawadi yake ya fulana kutoka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Chanika Tesha Stanslaus (Kulia) wakati wa kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwa mara ya pili kwenye Kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli kiwanjani. (Kushoto) ni Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash.
Mkazi wa Kigogo Fresh-Chanika Bi. Mazoea Kombo (katikati) akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia Serengeti kanda ya Chanika Bw. Tesha Stanslaus (Kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Check Point iliyopo Chanika jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. Bi. Mazoea aliimwagia sifa bia hiyo kuwa ni laini na haimchoshi.
Mpenzi wa bia ya Tusker Robert George akizungumza na Mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kulia) kipindi ambacho promo hiyo ilifunga kambi katika kiwanja cha baa ya Friends iliyopo Segerea jijini Dar es salaam. Baa hiyo iliibuka baa ya wiki kwenye Kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker yenye lengo la kuzihamasisha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli kwenye utoaji huduma kwa wateja. Promosheni hiyo inaendelea pia katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Moshi, Morogoro na Mbeya.
Dj wa redio Efm, almaarufu Dj Con akitoa burudani ya muziki ndani ya baa ya Friends iliyopo Segerea jijini Dar es salaam wakati wa hafla ya kuipongeza baa hiyo iliyoibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani. Kampeni ambayo inaendelea pia kwa mikoa ya Arusha, Morogoro, Moshi, Mwanza na Mbeya.
Mkazi wa Segerea na mteja wa bia ya Tusker Bw. Nelson Ruta akipokea zawadi yake ya fulana toka kwa mwakilishi wa Kampuni ya bia ya Serengeti Josephat Lukindo (kulia) katika hafla ya kuipongeza baa ya Friends ya Segerea jijini Dar es salaam ambayo ilitangazwa kuwa baa ya wiki kwenye kampeni inayoendelea ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani ambayo inaendeshwa kwa udhamini wa bia ya Tusker kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti.

No comments:

Post a Comment