Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 3 September 2015

TIMU YA TAIFA YA PARALYMPIC YAKABIDHIWA VIFAA KWA AJILI YA MICHEZO YA AFRIKA

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiikabidhi Timu ya Taifa ya Paralympic vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika  (All African Games).Kushoto anayepokea vifaa hivyo ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM).

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na kikosi cha Timu ya Taifa ya Paralympic wakati akiwakabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games).Kushoto aliyesimama ni Kocha wa Timu hiyo Bw. Zaharan Mwenemti. (Picha na Benjamin Sawe- WHVUM)
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda akiongea na mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Paralympic Bw. Ignas Madumla wakati wa makabidhiano ya Vifaa vya michezo kwa ajili ya kwenda nchini Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games). Picha na Benjamin Sawe-WHVUM.



No comments:

Post a Comment